GET /api/v0.1/hansard/entries/896666/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 896666,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/896666/?format=api",
    "text_counter": 246,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Fafi, KANU",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Abdikhaim",
    "speaker": {
        "id": 13329,
        "legal_name": "Abdikhaim Osman Mohamed",
        "slug": "abdikhaim-osman-mohamed"
    },
    "content": "Kwa hivyo, Jubilee kama walivyosema ni chama cha kuleta umoja, lakini sasa hivi tunasikia mambo mengi ambayo yanatendeka. Hii ndiyo maana sisi kama wafugaji tumeamua kuwa na chama chetu cha wafugaji. Hii ni kwa sababu, tuko na shida kubwa sana hapa nchini. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}