GET /api/v0.1/hansard/entries/896668/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 896668,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/896668/?format=api",
    "text_counter": 248,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Fafi, KANU",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Abdikhaim",
    "speaker": {
        "id": 13329,
        "legal_name": "Abdikhaim Osman Mohamed",
        "slug": "abdikhaim-osman-mohamed"
    },
    "content": "Miaka hamsini imepita tangu tupate uhuru kutoka kwa wakoloni, lakini sisi bado tunajihisi kama tuko chini ya ukoloni katika nchi na serikali ambayo tumeunga mkono kwa miaka 50 iliyopita. Kwa hivyo, ninaomba His Excellency Uhuru Kenyatta atuangalie kwa makini na kwa macho ya huruma, kwa sababu sisi kama Wakenya tulikuwa kunapiga kura kabla sijazaliwa mpaka sasa. Tumeunga mkono Serikali kila wakati na tuko nayo kila wakati. Sasa hivi, tunaambiwa tuko na the Leader of the Majority Party ambaye hashughuliki na kazi yake bali fitina. Kwa hivyo, sisi kama waheshimwa kama yeye anafikiria tuko ndani ya mfuko wake. Hatuko ndani ya mfuko wake, tunajisimamia. Tuko na haki ya kuchagua mtu yeyote tunayemtaka."
}