GET /api/v0.1/hansard/entries/896669/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 896669,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/896669/?format=api",
    "text_counter": 249,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Fafi, KANU",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Abdikhaim",
    "speaker": {
        "id": 13329,
        "legal_name": "Abdikhaim Osman Mohamed",
        "slug": "abdikhaim-osman-mohamed"
    },
    "content": "Ninataka kusema kuwa leo asubuhi Rais aliongea kuhusu mambo ya dini. Mimi ni Muislamu kama yeye. Tukiingia ndani ya msikiti, tuko na Imam na akisimama tunasimama, akiinama tunainama na akisujudu tuna sujudu. Kwa hivyo, hapa nchini Rais ni Uhuru Kenyatta na ameleta handshake ambayo ni nzuri, na imeleta amani nchini. Kwa hivyo, tunaunga mkono kwamba yule mtu ambaye hataki kumsaidia ama kufanya kazi asiwe ndani ya serikali na atoke nje. Tuko na Rais mmoja hapa na lazima tuwe nyuma yake na tumpatie support . Huwezi kuwa pande hii na mara nyingine pande nyingine. Hatukuelewi. Tunataka wale ambao wanafanya kazi ndani ya Serikali ya Uhuru Muigai Kenyatta, wafanye kazi na Rais."
}