GET /api/v0.1/hansard/entries/896724/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 896724,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/896724/?format=api",
    "text_counter": 304,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taveta, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Ufisadi ni ugonjwa mgumu sana na mbovu kushinda saratani, kwa maana ni ugonjwa ambao utamaliza nchi yetu kama hatutasikiza vile Mheshimiwa Rais amesema. Amezungumzia sana kuwa kuna umuhimu wa kupigana na ufisadi maanake ni janga ambalo linatumaliza sisi sote na pia mwananchi."
}