GET /api/v0.1/hansard/entries/896725/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 896725,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/896725/?format=api",
    "text_counter": 305,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taveta, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Janga hili la ufisadi ni janga ambalo linahitaji Wakenya wote waungane na Mheshimiwa Rais tuwe kama jeshi lake kuweza kupigana na huu ufisadi. Kina mama wakienda kujifungua hospitalini wanakosa dawa, ama vifaa vya kuwasaidia na mama anapata dhiki ya kupata mtoto afariki au yeye apate matatizo na kufariki."
}