GET /api/v0.1/hansard/entries/896727/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 896727,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/896727/?format=api",
    "text_counter": 307,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taveta, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Kule mashinani watu hutembea kilomita nyingi kutafuta maji. Pesa zinazofujwa kwenye ufisadi, zinafanya wananchi kuteseka, na kukosa maji ya kutumia. Kama inavyosemekana maji ni uhai. Maswala mengi na haswa sakata kubwa zilizoko ni kuhusu maswala ya kuhusiana na maji. Ufisadi hauwezi kuendeleza nchi na itakuwa sababu kubwa ya nchi hii kudidimia chini, kama hatutamsikiliza Mhe. Rais anavyosema."
}