GET /api/v0.1/hansard/entries/896728/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 896728,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/896728/?format=api",
    "text_counter": 308,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taveta, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Ningependa sana kumpongeza Raisi haswa kwenye maswala ya kimaendeleo, reli ya kisasa inavyotutoa Mombasa ikitufikisha hapa, sasa hivi inaelekea kumalizika kuelekea Naivasha halafu kuendelea mbele. Tunajua kwamba ameenda nchi ya Uchina kuhakikisha ya kwamba ameweza kumalizia maswala ya kupata fedha za kumalizia kazi hii. Wakenya wengi wana kilio, lakini dawa ya kilio chenyewe ni moja tu, kuhakikisha kuwa ajenda hizo nne za Raisi zinaweza kutimizwa na yeye kabla hajafika kustaafu mwaka wa 2022."
}