GET /api/v0.1/hansard/entries/896729/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 896729,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/896729/?format=api",
    "text_counter": 309,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taveta, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Kwa hivyo, ni lazima sisi wote tumuunga mkono, tumwombee afya nzuri na vile vile pia tumwombee hata Naibu wake afya nzuri, ili wote waweze kufanya kazi na kutekeleza majukumu walioambia Wakenya. Mhe. Naibu Spika wa Muda, naunga mkono Hotuba hii na wale wote ambao wanasimama kidete kuweza kuhakikisha kuwa Wakenya wataweza kupata maendeleo kulingana na vile Mhe. Rais alivyoitakia Serikali yake. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}