GET /api/v0.1/hansard/entries/896853/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 896853,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/896853/?format=api",
    "text_counter": 114,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Likoni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": " Ahsante sana, Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ili niweze kupongeza Hotuba ya Mheshimiwa Rais. Hotuba yake ilikuwa Hotuba ya kizalendo na ya kujenga taifa la Kenya. Aliongea juu ya maendeleo ya kimsingi ya taifa letu. Wakati alizungumzia mambo ya umoja kupitia kile tunaita “ handshake” alisema ni jambo ambalo hatarudi nyuma ila atalizingatia sana. Sisi kama Wakenya, tumeona umuhimu wa"
}