GET /api/v0.1/hansard/entries/896860/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 896860,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/896860/?format=api",
"text_counter": 121,
"type": "speech",
"speaker_name": "Likoni, ODM",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
"speaker": {
"id": 874,
"legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
"slug": "mishi-juma-khamisi"
},
"content": ", viungo hutolewa na kuhifadhiwa. Serikali ilipotuma delegation kwenda Cuba, kuuliza kuhusu viungo hivyo, walisema walivichoma. Hili ni jambo ambalo limeumiza familia kwa sababu tuna maadili yetu kama Wakenya na kama Waafrika. Iwapo postmortem ilifanyika na wakatoa viungo, kwa uchache wa elimu yangu, ninajua hata hapa Kenya, wakati wa postmortem, si viungo vyote hutolewa? Hukatwa hata sehemu ndogo ndogo ili waangalie sababu ya kifo cha mwendazake. Kwa hivyo, jambo kama hili lilitutamautisha sana. Wakati tunaweka mikakati kama hiyo, lazima tujue, sisi kama Wakenya, tukiwa nchi za nje, tuna sheria zetu, tuna maadili yetu na tuna mambo yetu ambayo ni lazima yafuatwe. Mheshimiwa Rais alizungumzia mambo ya agenda nne kubwa. Alizungumzia kwa upana kuhusu viwanda, na ninashukuru sana. Kule Mombasa, tayari Serikali ina mikakati ya kuanzisha"
}