GET /api/v0.1/hansard/entries/898095/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 898095,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/898095/?format=api",
    "text_counter": 286,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Likoni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": " Mhe. Mwenyekiti wa Muda, biashara ya kamari inafaida watu wengi sana. Pia, ina hasara kwa Wakenya wengi sana mpaka watoto wetu. Majumba mengi yameadhirika kwa sababu ya biashara ya kamari. Hii Kshs20 milioni ni sawa."
}