GET /api/v0.1/hansard/entries/899622/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 899622,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/899622/?format=api",
"text_counter": 925,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matungu, ANC",
"speaker_title": "Hon. Justus Makokha",
"speaker": {
"id": 13430,
"legal_name": "Justus Murunga Makokha",
"slug": "justus-murunga-makokha-2"
},
"content": " Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia nafasi hii ili nichangie. Kwa yale yote ambayo yamekuwa yakiendelea, mimi ni Mbunge ambaye ameadhirika kwa hali ya juu. Kwa mwezi mzima kumetokea vifo vya watu 12 kwa jumla wakiwemo watoto wa shule. Mtoto wa kwanza akiwa wa kidato cha pili, wapili ni wa kidato cha tatu na wa mwisho ambalo ni jambo la kusitikisha ni ya kwamba jumapili hii waliua mtoto wa miaka mitatu."
}