GET /api/v0.1/hansard/entries/899623/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 899623,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/899623/?format=api",
"text_counter": 926,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matungu, ANC",
"speaker_title": "Hon. Justus Makokha",
"speaker": {
"id": 13430,
"legal_name": "Justus Murunga Makokha",
"slug": "justus-murunga-makokha-2"
},
"content": "Ni jambo la huzuni kwa sababu eneo hili la Matungu kuna shida. Shida ya kwanza ni kwamba OCPD anayesimamia police station ya Harambee sub-county hana gari. Ni kama jeshi akitumwa vitani bila silaha. Panapotokea hali kama hii, askari hawana namna ya kusafiri. Ni jambo ambalo sijui lilitokea kwa nini. Sijui kama Waziri anajua kwa sababu ili askari wafanye kazi yao kwa njia ambayo inastahili, wanafaa kupata gari la kuzungukia. Hawana gari. Gari lililoko limeharibika. Inasemekana kwamba wakati walikuwa wanapeana magari, kituo cha polisi cha Harambee hakikuwa gazetted. Kwa hivyo, hakikupata gari walipokuwa wakipeana magari ya"
}