GET /api/v0.1/hansard/entries/899626/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 899626,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/899626/?format=api",
"text_counter": 929,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matungu, ANC",
"speaker_title": "Hon. Justus Makokha",
"speaker": {
"id": 13430,
"legal_name": "Justus Murunga Makokha",
"slug": "justus-murunga-makokha-2"
},
"content": "Jambo la pili, eneo hili ni kubwa na linahitaji askari wa kutosha. Nilipoenda kukutana na wasimamizi wa sub-county, ilionekana kwamba askari ni wachache. Swali ambalo liko katika akili yangu ni sijui kama Waziri mhusika anajua kwamba eneo hili ni kubwa na idadi ya askari ni ndogo. Kwa sasa tunapoongea katika Bunge hili, wananchi wa sehemu husika wako na hasira. Chochote kinaweza kutokea na ningependa Bunge hili tukufu…"
}