GET /api/v0.1/hansard/entries/901957/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 901957,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/901957/?format=api",
    "text_counter": 197,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mvita, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": " Ahsante, Mhe. Spika. Ningeomba nitumie lugha fasaha ya Kiswahili ili tuweze kufahamikiana. Kabla ya Kenya kuwa na mfumo wa serikali ya vyama vingi na katiba mpya ambayo tunaitumia sasa hivi, kulikuwa na kipengele katika sheria ya State Corporations Act. Kipengele hicho cha 5(a) kilikuwa kinampatia ruhusa Rais wa Kenya ya kuwa, licha ya masuala yote yaliyoko pale, Rais akiweza kupeleka ilani katika"
}