GET /api/v0.1/hansard/entries/901960/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 901960,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/901960/?format=api",
"text_counter": 200,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": "mfumo mpya wa Kenya inavyoendeshwa, Bunge hili hili likaamua kutoa kipengele kile kuwa, hakuna yeyote anayeweza kuinua sheria yoyote ya Bunge isipokuwa Bunge lenyewe. Lakini, huu Mswada kisawasawa – lau hawana nia mabaya na hakuna nia chafu katika masuala haya – ilikuwa iletwe kwa kupitia Mswada wa maana si Mswada kumba ambayo kuna uwezekano wa watu kutoweza kuona na kujua ni kitu gani kinachoendelea. Bunge hili lilikataa ilhali tunaletewa Mswada ili tukubali ya kuwa Waziri akiamua, licha ya mambo yaliyopitishwa Bungeni, anaweza kuinua sheria ambayo imewekwa na Bunge hili kwa kalamu yake. Kuna mambo mengine tutayahisi…"
}