GET /api/v0.1/hansard/entries/901965/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 901965,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/901965/?format=api",
"text_counter": 205,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": " Mhe. Spika, wakati mwingine kuna watu ambao hawafahamu zile sheria za Bunge wanaona kwa kuita jina lako wao hutukatiza maneno. Katika hali yaa kutukatiza maneno, hatufahamu nia yao ni ipi. Ningemuomba aache niendelee ama umkataze kuendelea kuzungumza…"
}