GET /api/v0.1/hansard/entries/901972/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 901972,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/901972/?format=api",
"text_counter": 212,
"type": "speech",
"speaker_name": "Garissa Township, JP",
"speaker_title": "Hon. Aden Duale",
"speaker": {
"id": 15,
"legal_name": "Aden Bare Duale",
"slug": "aden-duale"
},
"content": " Mheshimiwa Spika, Mjumbe wa Mvita na kiongozi wa kamati ya PIC amesema maneno kuhusu vile makampuni tofauti wanamiliki hisa zao. Inawezekana atoe ushahidi ya kutosha kuwa KPA ina hisa za asilimia alizosema?Nasimama katika kanuni za Bunge Nambari 91. Kama hana ushahidi, basi nitamuuliza ayakanushe matamshi hayo."
}