GET /api/v0.1/hansard/entries/901981/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 901981,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/901981/?format=api",
    "text_counter": 221,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mvita, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": "ya kuuliza, hii karatasi waliitoa pale. Sio kuwa tumeitoa katika kamati. Tatu, nasisitiza tena ya kuwa lao, nia na madhumuni yao ni kuhusiana na mambo ya wafanyikazi. Kwa nini yale maswali yote ambayo tumeyauliza, si mara mora si mara mbili, bali mara tatu, majibu ambayo yameletwa katika Bunge hili wakakubali ya kuwa kuna matatizo na wakasisitiza ya kuwa watabadilisha sheria? Mpaka leo hawajafanya jambo hilo. Licha ya hayo, wamejaribu kupenyeza mambo kwa njia ambayo sio mwafaka. Asante sana, Bw. Spika."
}