GET /api/v0.1/hansard/entries/902109/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 902109,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/902109/?format=api",
"text_counter": 349,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": "ambazo ziko hapo. Ile basi ambayo bandari ya Mombasa inataka kutumia, imejengwa kutokana na pesa za ushuru wa mwananchi. Haikujengwa na pesa za ushuru wa mtu mmoja. Haiwezekani kudhaifishwa au kubinafsishwa kwa mtu binafsi akaweza kuifanyia kazi ilhali ni sisi wananchi ndio tunaoilipia kodi. Kwa hivyo, ni lazima kuwe na usawa ili sisi watu wa Mombasa tufaidike katika mpango huu. Kulingana na Katiba ya Kenya, ni lazima kuwe na"
}