GET /api/v0.1/hansard/entries/902111/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 902111,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/902111/?format=api",
"text_counter": 351,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": ", yani watu kuhusishwa. Katika mambo haya, watu hawajahusishwa kisawasawa. Wasitufanyie ule mzaha ambao kwa Kiswahili unajulikana kama “kiriba goji, goji kiriba” – yani kutuzungusha tu hapo hapo kisha baadaye tunakuwa hatuna mbele wala nyuma. Ni mwezi mmoja na nusu uliopita tangu Serikali iamue kwamba watu watapata kipato kutoka kwa Mbuga ya Wanyamapori ya Voi. Tukiangalia katika Maasai Mara, watu wanapata kipato kule Kaunti ya Narok. Mpaka leo, hakuna chochote ambacho tunapata kutoka bandari yetu ya Mombasa. Watu wetu hawaajiriwi kazi kwa usawa. Nataka kupiga firimbi hapa leo. Hata kama bandari ni rasilimali ya Serikali kuu, ni lazima watu wahesabiwe ili waangalie wale ambao ni wenyeji wa pale. Ukiwa Mkamba, Mkikuyu, Mjaluo ama Msomali na unaishi Mombasa, ni The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}