GET /api/v0.1/hansard/entries/902112/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 902112,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/902112/?format=api",
    "text_counter": 352,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": {
        "id": 1612,
        "legal_name": "Bady Twalib Bady",
        "slug": "bady-twalib-bady"
    },
    "content": "lazima upatiwe nafasi ya kwanza katika bandari. Kwa hivyo, hivi sasa tunaona kuna watu wengi sana ambao wanaajiriwa katika bandari na kuna watu wetu ambao wamesoma na hawapati nafasi kama hiyo."
}