GET /api/v0.1/hansard/entries/902113/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 902113,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/902113/?format=api",
"text_counter": 353,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": "Kwa hayo machache, nashukuru Wabunge wenzangu kwa kukataa Mswada huu kwa sababu utatuumiza. Nikimalizia kwa sababu tunataka kwenda kufuturu baada ya dakika tano, nataka kuchukua fursa hii nikiwa Muislamu na Mbunge ambaye anahudumu katika kipindi cha pili cha Bunge hili, kuwaombea Waislamu wote popote pale walipo. Nawatakia Ramadan njema. Wafunge kwa kusaidiana baina ya wenyewe kwa wenyewe na kusimamisha dini ya Kiislamu."
}