GET /api/v0.1/hansard/entries/902794/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 902794,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/902794/?format=api",
    "text_counter": 239,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii ya kuchangia Ripoti ya Uwiano ambayo imeletwa hapa na Sen. Ndwiga. Kwanza nampongeza Sen. Ndwiga pamoja na wenzake ambao walikaa katika Kamati ya Uwiano wakakubaliana na kuleta mapendekezo kuhusu The Warehouse Receipt System Bill, 2017 . Bunge inafaa kufuata njia hii ili kuondoa mtafaruku kati ya Senate na National Assembly."
}