GET /api/v0.1/hansard/entries/902796/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 902796,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/902796/?format=api",
    "text_counter": 241,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, tulijadili hapa tarehe 30 mwezi uliopita, tulijadili hapa The Division of Revenue Bill na tukapendekeza marekebisho fulani ambayo yamekataliwa na Bunge la Taifa. Hayo yanafaa kushughulikiwa na kamati ya uwiano ambapo kuna Maseneta ambao watawakilisha Bunge hili ili kujadili Mswada huo."
}