GET /api/v0.1/hansard/entries/902800/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 902800,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/902800/?format=api",
    "text_counter": 245,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, nakushukuru kwa kunipa fursa hii ya kuchangia. Hii ni mara yangu ya kwanza kuongea katika muhula huu ambao tumeanza jana, ninawatakia Waislamu wote na Maseneta wezangu Waislamu katika Jamhuri ya Kenya Ramadhan Mubarak."
}