GET /api/v0.1/hansard/entries/902801/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 902801,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/902801/?format=api",
"text_counter": 246,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Asante, Bi Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii ili pia niongeze sauti yangu katika Mswada huu ambao Sen. Ndwiga walilizungumzia na kuweka uwiano unaokubalika kwa watu wote. Hakuna haja ya Bunge la Kitaifa na sisi kama Seneti kuvutana hapa na pale. Waliotuchagua walifanya hivyo ili tuje tungengeneze na kurekebisha pahali ambapo pameharibika. Tukivutana huko na kule, na waliotuchagua wapate shida, itakuwa ni hasara kubwa kwao. Tunapovutana wanaoumia si sisi katika bunge hizi mbili bali ni wale ambao walituchagua."
}