GET /api/v0.1/hansard/entries/902803/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 902803,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/902803/?format=api",
    "text_counter": 248,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Uwiano ni kitu kizuri sana. Kamati hii ambayo imekaa na ikasema haina haja ya watu kuvutana na wakaleta uwiano ilifanya kazi nzuri chini ya Sen. Njeru Ndwiga. Ninaunga mkono na ningependa pia kumuunga mkono Seneta wetu wa Kaunti ya Mombasa kwa kuwatakia Waislamu wote Ramadhan njema. Pia mimi ninawatakia Waislamu wote katika Kenya Ramadhan njema."
}