GET /api/v0.1/hansard/entries/903092/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 903092,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/903092/?format=api",
    "text_counter": 137,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Alitengamana na washukiwa wengine waliokuwa korokoroni na ikawa maisha ya kawaida kama vile anavyoishi kama mheshimiwa. Ninafikiri huo ni uzoefu wake wa nyuma uliyomfanya kuwa na uvumilivu wa aina hiyo alipoingia maeneo ya shida."
}