GET /api/v0.1/hansard/entries/903093/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 903093,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/903093/?format=api",
    "text_counter": 138,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, la msingi ni kwamba, hii Katiba ambayo tuliipigania kwa muda mrefu na kuiopitisha, hivi sasa inachukuliwa kama karatasi tu. Katiba inasema kwamba yeyote anayeshtakiwa mahakamani, apewe bond mara moja iwapoatazuiwa kwa zaidi ya masaa 24. Licha ya Mhe. Malalah kuwa Seneta wa Kaunti ya Kakamega, aliwekwa ndani kwa siku tatu. Waswahili wanasema kwamba, ukiona mwenzako ananyolewa, tia kichwa chako maji. Sasa ninaona upande wa Serikali katika Bunge hili unaona kwamba kweli yale malalamiko ambayo maseneta wa upinzani walikuwa wanalalamika, yanaweza kuwafikia. Tulilalamika hapa wakati Babu Owino aliwekwa korokoroni bila sababu yoyote. Tulilalamika wakati Wabunge sita waliotambulika kama ―Pangani Six‖ walishikwa bila makossa yoyote. Juzi katika Kaunti ya Mombasa, Waislamu 40 walikamatwa usiku wakitoka katika Swala ya Taraweh na kupelekwa mahakama ya Shanzu na kusomewa mashtaka ati wako idle na---"
}