GET /api/v0.1/hansard/entries/903096/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 903096,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/903096/?format=api",
    "text_counter": 141,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "juzi hata miezi miwili haijaisha. Ni aibu kuona polisi chini yake wakivunja sharia ovyo ovyo. Lazima Mkuu wa Polisi na Waziri Matiang‘i waje hapa. Wakati tulipozungumzia ulaghai wa shamba la Ruaraka, kuna wale waliyosema kwamba Matiang‘i ni mweupe kama theluji, lakini sasa wanaona zile shida ambazo tunapata kutoka kwake."
}