GET /api/v0.1/hansard/entries/904076/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 904076,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/904076/?format=api",
    "text_counter": 129,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika wa Muda kwa kunipa fursa kuchangia Taarifa hii iliyoombwa na Seneta wa Kaunti la Kilifi, Mhe. Madzayo. Hili swala la watu kuvunjiwa nyumba na makazi kiholela limekuwa donda sugu katika Kaunti za Kilifi an Mombasa. Mnamo tarehe moja Mwezi huu wa Tano, ambayo ilikuwa siku kuu rasmi ya Serikali, watu wa sehemu ya Mukani kule Bamburi walivamiwa alfajiri na polisi wenye bunduki. Walivunjiwa makazi yao wakati huo ambapo walikuwa na majadiliano na Kamishna wa Kaunti ya Mombasa kuhusu ardhi hiyo."
}