GET /api/v0.1/hansard/entries/904082/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 904082,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/904082/?format=api",
"text_counter": 135,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, hili ni swala ngumu sana, lakini kuna njia ya kuitatua. Tunapata shida sana kuhusu mambo ya ardhi katika sehemu za Kwale, Kilifi, Taita na sehemu zingine za Pwani. Ninaunga mkono Taarifa hii ya Mhe. Madzayo na ningependa sheria ifuatwe. Kamati ambayo itachunguza mambo kuhusu hiyo ardhi inafaa iende mpaka Kilifi ili itatue hiyo shida. Wasizunguke tu hapa Nairobi; hapana! Asante sana, Bw. Spika wa Muda."
}