GET /api/v0.1/hansard/entries/904288/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 904288,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/904288/?format=api",
"text_counter": 27,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Bw. Spika, najumuuika na Maseneta wenzangu kuwakaribisha wanafunzi kutoka Kaunti ya Makueni. Kama wanafunzi wanavyo tuona hapa katika Seneti, tunawakilisha makaunti 47. Wanafunzi wanapaswa kujua kwamba wakitia bidii wanaweza kuwa viongozi wa nchi hii. Nawasihi wawe na bidii. Nawatakia siku njema na wajifunze mengi watakayo yaona hapa. Karibuni."
}