GET /api/v0.1/hansard/entries/90471/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 90471,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/90471/?format=api",
"text_counter": 105,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Bett",
"speaker_title": "The Minister for Roads",
"speaker": {
"id": 157,
"legal_name": "Franklin Kipng'etich Bett",
"slug": "franklin-bett"
},
"content": "(b) Wizara yangu imetayarisha mchoro wa kuweka lami barabara hii na inatafuta pesa pamoja na wafadhili ili kuanzisha mradi wa kuweka lami. Hata hivyo, ningependa kusema kwamba tumeweka kiwango cha kshs30 milioni kwa awamu hii ya fedha kugharamia ukarabati ili barabara hii iweze kupitika na kutumika bila shida kwa wasafiri."
}