GET /api/v0.1/hansard/entries/90472/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 90472,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/90472/?format=api",
"text_counter": 106,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, ninashukuru Waziri kwa kukubali kwamba barabara hiyo ni mbaya. Tumezungumza sana juu ya Barabara ya Rumuruti-Maralal. Hii barabara haipitiki tangu mvua inyeshe na watu wanalala huko kwa sababu hakuna barabara nyingine ya kupitia. Mwenye kupewa kandarasi alimwaga maram na hakuitandaza. Kama mwanye kupewa kandarasi alimwaga maram, inakuaje Wizara inatoa tingatinga ya kumwaga maram? Ningependa Waziri ajibu maswali hayo kwa sababu kuna shida."
}