GET /api/v0.1/hansard/entries/90475/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 90475,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/90475/?format=api",
"text_counter": 109,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Letimalo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 68,
"legal_name": "Raphael Lakalei Letimalo",
"slug": "raphael-letimalo"
},
"content": "Bw. Naibu wa Spika, Waziri amesema kwamba ametenga Kshs30 milioni kwa ukarabati wa barabara hii akiendelea kutafuta wafadhili wa kuweka lami. Kwa vile Waziri amekubali kwamba barabara haipitiki, hata juma lilolipita hatungeweza kufika kwa harusi kwa sababu magari mengi yalikwama, je ni lini ataanza ukarabati akizingatia kwamba barabara haipitiki na ndiyo peke yake ambayo watu wa Maralal wanategemea kupata bidhaa kutoka Nyahururu na sehemu zingine?"
}