GET /api/v0.1/hansard/entries/90476/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 90476,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/90476/?format=api",
"text_counter": 110,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Bett",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 157,
"legal_name": "Franklin Kipng'etich Bett",
"slug": "franklin-bett"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, nimesema kwamba mwanakandarasi ameanza kazi na hilo pia limedhibitishwa na Mbunge ambaye ameuliza swali hili. Alisema kwamba mwanakandarasi ameanza kumwaga maram kwa barabara hiyo. Hii inamaanisha kwamba kazi imeanza. Hii itasaidia na wananchi hawataendelea kuwa na taabu. Barabara hiyo imeshughulikiwa. Hata hivi majuzi nilienda nchi ambayo tunatarajia kwamba itatufadhili ili tuweze kutengeneza barabara hii. Tulitia sahihi makubaliano ili waje kutusaidia kutengeneza barabara hiyo. Kwa hivyo, ninaamini kwamba hivi karibuni, watakuja na tutangeneza hiyo barabara."
}