GET /api/v0.1/hansard/entries/90477/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 90477,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/90477/?format=api",
    "text_counter": 111,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ms. Karua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 166,
        "legal_name": "Martha Wangari Karua",
        "slug": "martha-karua"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, ningependa kuuliza Waziri swali hili. Shida ya barabara kama hiyo na zinginezo katika maeneo mengine ni mafuriko wakati wa mvua. Je, Waziri anashirikiana na Wizara ya Maji ili waweze kujua vile wataweza kubadili njia ya mafuriko ili yawe bahati kwa wakaazi wa sehemu hizo wakati wa kiangazi na pia kulinda barabara ambazo wanatengeneza?"
}