GET /api/v0.1/hansard/entries/90481/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 90481,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/90481/?format=api",
"text_counter": 115,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Gaichuhie",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 17,
"legal_name": "Nelson Ributhi Gaichuhie",
"slug": "nelson-gaichuhie"
},
"content": "Asante, Bwana Naibu Spika. Kwa sababu mhandisi ambaye anasimamia barabara hiyo amekadiria kwamba itagharimu Kshs60 milioni na hivi sasa, Waziri ametuambia kuwa ametenga Kshs30 milioni. Je, pesa hizo zingine, Kshs30 milioni, zitapatikana lini? Pia, tunataka aelewe kwamba kuna majambazi wengi katika barabara hiyo. Kwa hivyo, ningeomba atafute pesa kwa haraka na atueleze itamalizika lini ili majambazi waache kuwatisha wananchi."
}