GET /api/v0.1/hansard/entries/90482/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 90482,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/90482/?format=api",
"text_counter": 116,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Bett",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 157,
"legal_name": "Franklin Kipng'etich Bett",
"slug": "franklin-bett"
},
"content": "Asante, Naibu wa Spika. Sijasema nimetenga Kshs60 milioni. Nimetenga Kshs30 milioni mwaka huu na nimetoa awamu ya kwanza ya Kshs14 milioni na kazi hiyo inaendelea. Sijasema kwamba hizo Kshs30 milioni ni mwisho. Tunafanya kazi na tukiona kuna haja ya kuongeza, tutajikaza kutafuta pesa ili ujenzi huo ukamilike."
}