GET /api/v0.1/hansard/entries/90485/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 90485,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/90485/?format=api",
    "text_counter": 119,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Chanzu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 11,
        "legal_name": "Yusuf Kifuma Chanzu",
        "slug": "yusuf-chanzu"
    },
    "content": "Asante, Bwana Naibu Spika. Waziri amezungumza kuhusu uhaba wa pesa, lakini shida kubwa ambayo tuko nayo kwa barabara ni kuwa wahandisi wetu hawatembelei barabara hizi ili kuzikagua mara kwa mara. Kukiwa na shida kidogo, wanaweza kuirekebisha kabla haijakuwa kubwa. Waziri atafanya nini ili tuwe na ukaguzi wa mara kwa mara ili kama shida ni kidogo inaweza kurekebishwa kabla haijakuwa kubwa kuhitajii pesa nyingi?"
}