GET /api/v0.1/hansard/entries/90486/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 90486,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/90486/?format=api",
"text_counter": 120,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Bett",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 157,
"legal_name": "Franklin Kipng'etich Bett",
"slug": "franklin-bett"
},
"content": "Asante, Bwana Naibu Spika. Hilo ni swali nzuri sana. Hivi karibuni, nitawasilisha Mswada hapa Bungeni; Engineers Bill. Ninawaomba Wabunge wapitishe Mswada huo. Uhandisi ni muhimu sana kwa utekelezaji wa barabara. Kwa hivyo, tumeunda sheria ya kuhakikisha kwamba mhandisi ambaye anafanya kazi katika sehemu fulani anatii sheria hiyo na anakuwa na heshima kwa kazi yake. Pili, wakati kazi inaendelea kwa barabara, inabidi mhandisi huyo afanye kazi jinsi inavyotakikana bila kuchelewa. Hivyo ndivyo ilivyo katika sheria hiyo. Ninaomba Wabunge wapitishe Mswada huu utakapowasilishwa hapa Bungeni ili tuwe na barabara nzuri."
}