GET /api/v0.1/hansard/entries/90491/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 90491,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/90491/?format=api",
    "text_counter": 125,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ms. Karua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 166,
        "legal_name": "Martha Wangari Karua",
        "slug": "martha-karua"
    },
    "content": "Hoja ya nidhamu, Bwana Naibu Spika. Kwa vile Waziri amekubali kuwa ataenda katika eneo hilo akitumia gari, ingekuwa vizuri kama angetuambia hapa ni siku gani atazuru sehemu hiyo kwa sabau wengi wetu tutaenda huko kama mashahidi."
}