GET /api/v0.1/hansard/entries/908615/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 908615,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/908615/?format=api",
"text_counter": 109,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": " Mhe. Naibu Spika, je ni haki kwa Kiongozi wa Walio Wengi kutumia nafasi yake, siku zote hapa kwa Bunge, kutishia akina mama? Siku zote anatishia maisha ya akina mama. Kila kitu kinachofanywa, anatishia wanawake. Akisema"
}