GET /api/v0.1/hansard/entries/908888/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 908888,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/908888/?format=api",
"text_counter": 66,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Naunga mkono hii Petition iliyoletwa hapa kwa sababu swala hili linafaa kutatuliwa. Kule Kwale, kila mara ninapopiga kelele kuhusu ufisadi, watu wanapuuza na kujiuliza kama mimi ni kiranja. Mojawapo ya majukumu yetu ni kuchunguza matumizi ya pesa za umma."
}