GET /api/v0.1/hansard/entries/908906/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 908906,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/908906/?format=api",
    "text_counter": 84,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Asante Madam Temporary Speaker, kwa kunipatia nafasi hii. Ninaunga Petition hii mkono. Magavana wamekuwa wakiandika watu kazi. Wenyekiti wa tume ya kuajiri watu hawafanyi kazi yao kwa sababu wanaelekezwa na magavana."
}