GET /api/v0.1/hansard/entries/908987/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 908987,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/908987/?format=api",
"text_counter": 165,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante sana, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia taarifa ya Seneta wa Kaunti ya Kericho, Sen. Cheruiyot. Maswala ya pasipoti imekuwa donda sugu kwa wakaazi wa pwani kwa jumla hususan wale waumini wa dini ya Kislamu. Sheria inayotumika kuwapa Waislamu pasipoti ni tofauti na sheria inayotumika kuangalia maombi ya pasipoti ya Wakenya wengine."
}