GET /api/v0.1/hansard/entries/908988/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 908988,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/908988/?format=api",
    "text_counter": 166,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Hivi majuzi tulikuwa na mchakato wa kuandikisha Huduma Namba. Stakabadhi zilizokuwa zinahitajika kuandikisha Huduma Namba zilikuwa kadi ya kitambulisho au cheti cha kuzaliwa pekee lakini kupata pasipoti, unahitajika kuleta vyeti vya kuzaliwa za babu na babu."
}