GET /api/v0.1/hansard/entries/908989/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 908989,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/908989/?format=api",
"text_counter": 167,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Babu yangu alipozaliwa, Kenya haikuwa imepata uhuru. Kenya ilipata uhuru mwaka wa 1963. Kwa hivyo, sitapata cheti cha kuzaliwa cha babu yangu kuonyesha kwamba yeye ni Mkenya kwa sababu Kenya haikuwa imepata uhuru alipozaliwa. Donda sugu la pasipoti limekuwa likiwapa Wakenya wengi hususan wale wa kaunti ya Mombasa na miji mingine ya pwani shida kubwa."
}